[00:00.00] 作词 : Nandy[00:01.00] 作曲 : Faustina Nandera Charles Mfinanga[00:09.11]Kuna maneno ya kusikia sikupendi utaambiwa[00:14.39]Sio ishu ni hatari usije ukayasikia[00:19.46]Mwenyewe umenisifia mwendo wangu wa ngamia[00:24.78]Taratibu bwana darling usije ukayasikia[00:29.98]Usije niacha wakati nakupenda sana[00:35.34]Eeh bwana we me nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana[00:43.76]Nielewe Mambo weka sawa[00:48.81]Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo[00:54.40]Kama ulaya wanavyofanyagaa utanipa donda hapo hapo[01:00.00]Nikianzishe kilio wo wo wo baba ubaya Usije ni bwagaa nakupenda[01:09.14]Bado[01:11.60]Nakupenda baba[01:13.19]Bado[01:14.28]Laazizi[01:15.54]Bado[01:16.89]Usininyime utamu[01:18.42]Bado[01:19.54]Nakupenda[01:21.09]Bado[01:22.08]Nakupenda bwana[01:23.70]Bado[01:24.74]Ooh wangu Mimi[01:26.34]Bado[01:27.27]Yeah yeah yeah[01:29.41]Bado[01:30.12]Mh[01:31.95]Hutumii vumio bwana samaki sio supu ya nyanya[01:37.38]Mambo ng'ari ng'ari habari zinapatikana[01:42.54]Na maneno Ndo mengi sana usishike moja tazama[01:47.88]Nipe vya asali kachumbari pilipili Kwa sana[01:53.03]Usije niacha wakati nakupenda sana[01:58.33]Eeh bwana we mi nitapagawa[02:02.93]Mambo madogo kelele za kusemezana[02:07.82]Nielewe Mambo weka sawa[02:12.82]Usije niacha mwenzako nitamisi matukio wo wo wo kama ulaya[02:18.48]Wanavyofanyaga utanipa donda Kwa hapa nikianza shikilia wo wo wo[02:27.76]Baba ubaya Usije ni bwaga nakupendaa[02:29.98]Bado[02:32.40]Nakupenda bwana[02:33.99]Bado[02:35.03]Laazizi[02:36.33]Bado[02:37.68]Usininyime utamu[02:39.14]Bado[02:40.23]Nakupenda[02:41.80]Bado[02:42.78]Nakupenda bwana[02:44.27]Bado[02:45.36]Ooh wangu mimi[02:47.01]Bado[02:47.93]Yeah yeah yeah[02:50.06]Hutumii vumio bwana[02:52.68]Samaki sio supu ya nyanya[02:55.20]Mambo ng'ari ng'ari[02:57.72]Habari zinapatikana[03:00.28]The African princess